Genesis 14:6-7

6 ana Wahori katika nchi ya kilima cha Seiri, hadi El-Parani karibu na jangwa. 7 bKisha wakarudi wakaenda En-Misfati (yaani Kadeshi), wakashinda nchi yote ya Waamaleki, pamoja na Waamori waliokuwa wakiishi Hasason-Tamari.

Copyright information for SwhKC